Skip to content
Merged
Show file tree
Hide file tree
Changes from all commits
Commits
Show all changes
15 commits
Select commit Hold shift + click to select a range
File filter

Filter by extension

Filter by extension

Conversations
Failed to load comments.
Loading
Jump to
Jump to file
Failed to load files.
Loading
Diff view
Diff view
Original file line number Diff line number Diff line change
Expand Up @@ -66,6 +66,10 @@
| 50 | Smart quote double-wrapping in YAML frontmatter | pl #17445 | `summaryPoint1: ""text""` -- value had smart quotes `\u201C...\u201D`; `quoteFrontmatterNonAscii` saw non-ASCII, didn't recognize smart quotes as existing quoting, wrapped in straight quotes producing double-wrapping | Critical -- breaks YAML parsing |
| 51 | Extra spaces around `=` in JSX attributes | pl #17445 | `<a href = "https://...">` -- Crowdin introduces spaces around `=` in href and other JSX attributes; no sanitizer function normalizes this | High -- may break strict MDX parsers |
| 52 | Orphaned opening backtick with missing closer | pl #17445 | `` `<nazwa opcodu>(...). `` -- opening backtick with no closing backtick; `repairUnclosedBackticks` needs English comparison and may miss cases where English also has backticks but the translated line lost one | High -- exposed MDX tags |
| 53 | Crowdin misplaces closing backtick before JSX fragment closer | sw #17521 | EN: `` (`<> ... </>`) `` -> SW: `` (`<> ...` </>) `` -- Crowdin moves closing backtick before `</>`, then `escapeMdxAngleBrackets` escapes the exposed `</>` as `\</>`. Fix: detect `` `<content>` </>) `` pattern and move closing backtick to include `</>` | Critical -- breaks MDX display |
| 54 | Double punctuation after orphaned tag removal | sw #17521 | `kutoa.</em></em>.` -> `kutoa..` -- `removeOrphanedClosingTags` strips orphaned `</em>` tags but leaves behind double periods where the tag sat between two periods. Fix: collapse `..` to `.` after orphan removal | Low -- cosmetic but noticeable |
| 55 | Escaped quotes `\"` in MDX JSX attributes | sw #17521 | `<ButtonLink variant=\"outline-color\" href=\"/roadmap/\">` -- Crowdin backslash-escapes quotes in JSX attributes; valid in JSON but breaks MDX compilation | Critical -- breaks build |
| 56 | Translated interpolation placeholders in JSON | sw #17521 | EN: `{days}` -> SW: `{siku}` -- Crowdin translates the variable name inside `{}` braces; the app expects the English key name | Critical -- breaks rendering |

## Patterns Already Handled by Sanitizer (Confirmed Working)

Expand Down
134 changes: 134 additions & 0 deletions public/content/translations/sw/about/index.md
Original file line number Diff line number Diff line change
@@ -0,0 +1,134 @@
---
title: "''Kuhusu sisi.''"
description: "''Kuhusu timu, jamii, na dhamira ya ethereum.org"
lang: sw
---

# Kuhusu ethereum.org {#about-ethereumorg}

''ethereum.org ni chanzo-wazi cha umma kwa ajili ya jamii ya Ethereum ambacho mtu yeyote anaweza kuchangia.''. ''Tuna timu ndogo ya msingi iliyejitolea kudumisha na kuendeleza kurasa za mtandao, kwa michango kutoka kwa maelfu ya wanajamii duniani kote.''.

**Hakuna mtu yeyote kutoka ethereum.org atakayewasiliana nawe kamwe. Usijibu.**

## Tanbihi kuhusu majina {#a-note-on-names}

''Ni jambo la kawaida kwa watu kuchanganya majina ndani ya mazingira ya Ethereum, jambo ambalo linaweza kusababisha mitazamo isiyo sahihi kuhusu jinsi Ethereum inavyofanya kazi.''. ''Hapa kuna ufafanuzi mfupi wa kusaidia kufafanua maswala.'':

### Ethereum {#ethereum}

''Ethereum ni wavu wa umma, msururu wa vizuizi, na itifaki ya wazi -unaotumika, kuongozwa, kuendeshwa na kumilikiwa na jamii ya kimataifa yenye maelfu ya watengenezaji, waendeshaji wa kituo, wenye ETH na watumiaji.''.

[Zaidi kuhusu Ethereum](/what-is-ethereum/)

[Zaidi kuhusu utawala wa Ethereum](/governance/)

### Ether (ETH) {#ether-or-eth}

''Ether (maarufu pia kwa kifupi chake cha biashara, ETH) ni sarafu asili inayotumika katika miamala ya Ethereum.''. ''ETH inastahili kulipia matumizi ya wavu wa Ethereum ( kwa njia ya ada za miamala).''. ''ETH pia hutumika kulinda mtandao kupitia kuweka dhamana.''. ''Wakati watu wanazungumza kuhusu bei ya Ethereum, wanamaanisha ETH kama mali.''.

[Zaidi kuhusu ETH](/what-is-ether/)

[Zaidi kuhusu kuhodhi ETH](/staking/)

### Msingi wa Ethereum {#ethereum-foundation}

Shirika lisilo la faida, lililofadhiliwa awali na uuzaji wa watu wengi wa ETH, inayojitolea kwa usaidizi wa mtandao wa Ethereum na mfumo wa ikolojia.

[Zaidi kuhusu Msingi wa Ethereum](/foundation/)

### ethereum.org {#ethereum-org}

Tovuti ya umma, chanzo-wazi na rasilimali ya elimu kwa jumuiya ya Ethereum. ethereum.org inaongozwa na timu ndogo ya msingi, inayofadhiliwa na msingi wa Ethereum, kwa michango kutoka kwa maelfu ya wanajamii kote ulimwenguni.

Ukurasa huu unashughulikia habari zaidi kuhusu ethereum.org.

## Dhamira yetu {#our-mission}

**dhamira ya ethereum.org ni kuwa lango bora kwa jumuiya inayokua ya Ethereum**

Tunajitahidi kuunda nyenzo ya elimu iliyo rahisi kueleweka kwa mada zote zinazohusiana na Ethereum, iliyoundwa ili kuwasaidia watumiaji wapya kuifahamu Ethereum na dhana zake kuu. Tunataka:

- kuelezea Ethereum kwa mtu yeyote mpya kwa teknolojia
- husaidia watumiaji wapya kuanza na ETH na Ethereum
- kusaidia watengenezaji wapya kuanza kujenga
- mabadiliko na Maendeleo katika Ulimwengu wa Ethereum
- onyesha rasilimali iliyoundwa na wanajamii
- kuleta elimu ya Ethereum kwa lugha nyingi iwezekanavyo

Ili kufikia dhamira hii, timu yetu inaangazia malengo mawili ya msingi kwenye ethereum.org:

### 1. Kuboresha uzoefu wa mtumiaji kwa wageni wa ethereum.org {#visitors}

- Panua, boresha, na weka maudhui kuwa ya kisasa
- Boresha urahisi wa kutumia na upatikanaji kupitia ulinganifu wa lugha na mbinu bora za maendeleo ya wavuti
- Ongeza ushiriki wa watumiaji kupitia vipengele kama vile tafiti, maswali na miunganisho ya web3
- Weka tovuti iwe nyepesi na tendaji

### 2. Kuza, imarisha na kuwezesha jumuiya yetu ya wachangiaji {#community}

- Kuza jumla ya idadi ya wachangiaji kwenye tovuti
- Boresha uhifadhi wa wachangiaji kupitia ushirikiano, shukrani na zawadi
- Kuwawezesha wanajamii kutoa mchango mkubwa zaidi
- Kuwezesha utofauti mkubwa zaidi wa michango: kanuni, maudhui, muundo, tafsiri, udhibiti
- Hakikisha msingi wa msimbo uko wa kisasa, safi, na umeandikwa kwa maandishi ya kueleweka

## Kanuni za msingi {#core-principles}

Tunayo baadhi ya kanuni za msingi zinazotusaidia kutuongoza kutimiza misheni yetu.

### 1. ethereum.org ni lango la Ethereum 🌏 {#core-principles-1}

Tunataka watumiaji wetu wavutiwe na maswali yao kujibiwa. Kwa hivyo tovuti yetu inahitaji kuchanganya habari, "nyakati za kipekee" na viungo vya rasilimali bora za jamii ambazo zipo huko nje. Madhumuni ya maudhui yetu ni kuwa "lango la kuingia" na si kuchukua nafasi ya rasilimali nyingi ambazo tayari zipo. Tuna nia ya kuunga mkono na kujumuika na rasilimali zilizoundwa na jumuiya, kuzipa mwonekano zaidi na kuzifanya ziweze kutambulika zaidi.
[Jumuiya ya Ethereum](/community/) ndiyo kiini cha hili: hatuhitaji tu kuhudumia jumuiya, bali kufanya kazi nayo na kujumuisha maoni yake. Tovuti sio tu ya jumuiya tuliyo nayo sasa bali ni ya jumuiya tunayotarajia kukua. Ni lazima tukumbuke jumuiya yetu ni ya kimataifa, inayo watu kutoka lugha, maeneo na tamaduni nyingi.

### 2. ethereum.org inabadilika kila wakati 🛠 {#core-principles-2}

Ethereum na jumuiya daima zinaendelea, kwa hivyo ethereum.org pia. Ndio maana tovuti ina mfumo rahisi wa usanifu na muundo wa moduli. Tunafanya mabadiliko ya mara kwa mara tunapojifunza zaidi kuhusu jinsi watu wanavyotumia tovuti na kile ambacho jumuiya inataka kutoka kwayo.
Sisi ni chanzo huria, na jumuiya ya wachangiaji, kwa hivyo unaweza kupendekeza mabadiliko au utusaidie pia.
[Jifunze kuhusu kuchangia](/contributing/)

### 3. ethereum.org si tovuti ya kawaida ya bidhaa 🦄 {#core-principles-3}

Ethereum ni jambo kubwa: inajumuisha jumuiya, teknolojia, seti ya mawazo na itikadi, na zaidi.
Hii inamaanisha kuwa tovuti inahitaji kushughulikia safari nyingi tofauti za watumiaji, kutoka kwa "msanifu programu ambaye anataka zana maalum" na "mgeni ambaye amenunua ETH na hajui pochi ni nini".
"Ni tovuti gani bora kwa jukwaa la kiambajengo?" bado ni swali wazi - sisi ni waanzilishi. Kuunda hii kunahitaji majaribio.

## Ramani ya maendeleo ya bidhaa {#roadmap}

Ili kufanya kazi yetu ipatikane zaidi na kuhimiza ushirikiano zaidi wa jumuiya, timu ya msingi ya ethereum.org inachapisha muhtasari wa malengo ya ramani yetu ya maendeleo ya [shape up cycle](https://www.productplan.com/glossary/shape-up-method/).

[Tazama ramani yetu ya maendeleo ya bidhaa ya Mzunguko 1 wa 2025](https://github.com/ethereum/ethereum-org-website/issues/14726)

**Unaonaje?** Tunathamini maoni kuhusu ramani yetu ya maendeleo kila wakati - ikiwa kuna jambo unalofikiri tunapaswa kulifanyia kazi, tafadhali tujulishe! Tunakaribisha mawazo na PRs kutoka kwa mtu yeyote katika jumuiya.

**Je, unataka kujihusisha?** [Jifunze zaidi kuhusu kuchangia](/contributing/), [tupate kwenye Twitter](https://x.com/ethdotorg), au jiunge na majadiliano ya jamii katika [seva yetu ya Discord](https://discord.gg/ethereum-org).

## Kanuni za usanifu {#design-principles}

Tunatumia seti ya [kanuni za usanifu](/contributing/design-principles/) kuongoza maudhui yetu na maamuzi ya usanifu kwenye tovuti.

## Mfumo wa usanifu {#design-system}

Tulijenga na kutoa [mfumo wa usanifu](https://www.figma.com/file/NrNxGjBL0Yl1PrNrOT8G2B/ethereum.org-Design-System?node-id=0%3A1&t=QBt9RkhpPqzE3Aa6-1) ili kutoa vipengele haraka zaidi na kuruhusu wanajamii kushiriki katika usanifu huria wa ethereum.org.

Unataka kujihusisha?[Fuatilia kwenye Figma](https://www.figma.com/file/NrNxGjBL0Yl1PrNrOT8G2B/ethereum.org-Design-System), [suala la GitHub](https://github.com/ethereum/ethereum-org-website/issues/6284) na ujiunge na mazungumzo kwenye [chaneli yetu ya Discord ya #design](https://discord.gg/ethereum-org).

## Mwongozo wa mtindo {#style-guide}

Tuna [mwongozo wa mtindo](/contributing/style-guide/) wa kusawazisha vipengele fulani vya uandishi wa maudhui ili kurahisisha mchakato wa uchangiaji.

Hakikisha umesoma [kanuni zetu](/contributing/design-principles/) na [mwongozo wetu wa mtindo](/contributing/style-guide/) ikiwa ungependa [kuchangia kwenye tovuti](/contributing/).

Tunakaribisha maoni kuhusu kanuni zetu za muundo, mfumo wa muundo na mwongozo wa mtindo. Kumbuka, ethereum.org ni ya jumuiya, na jumuiya.

## Leseni {#license}

Tovuti ya ethereum.org ni chanzo huria na imejengwa chini ya [Leseni ya MIT](https://github.com/ethereum/ethereum-org-website/blob/dev/LICENSE) isipokuwa kama itaelezwa vinginevyo. Zaidi kuhusu [masharti ya matumizi](/terms-of-use/) ya ethereum.org.

## Nafasi za kazi zilizo wazi {#open-jobs}

''Ingawa tovuti hii ni chanzio huria na mtu yeyote anaweza kuifanyia kazi, tun timu maalum inayojishughulisha na ethereum.org na miradi mengine na wavuti ya Ethereum.'

''Tutaweka nafasi za kazi hapa.''. Ikiwa huoni nafasi yako hapa, nenda kwenye [seva yetu ya Discord](https://discord.gg/ethereum-org) na utujulishe jinsi ambavyo ungependa kufanya kazi nasi!

''Kuangalia zaidi ya timu ya etherium.org?''? [Angalia kazi zingine zinazohusiana na Ethereum](/community/get-involved/#ethereum-jobs/).
Loading
Loading