Skip to content
Commit
Permalink
chore: import translations for sw
Browse files Browse the repository at this point in the history
• Loading branch information
actions-user committed Oct 9, 2024
1 parent 517bf11 commit bc52311
Show file tree
Hide file tree
Showing 11 changed files with 642 additions and 121 deletions.
78 changes: 49 additions & 29 deletions public/content/translations/sw/nft/index.md
Large diffs are not rendered by default.
108 changes: 89 additions & 19 deletions src/intl/sw/page-dapps.json
Large diffs are not rendered by default.
15 changes: 7 additions & 8 deletions src/intl/sw/page-eth.json
Original file line number Diff line number Diff line change
@@ -1,11 +1,11 @@
"page-eth-buy-some": "Unataka kununua Ethereum?",
"page-eth-buy-some-desc": "Ni kawaida kuchanganya Ethereun na ETH. Ethereum ni mnyororo wa bloku na ETH ni mali ya mwanzo ya Ethereum. Kuna uwezekano unaangalia kununua ETH.",
"page-eth-cat-img-alt": "Mchoro wa nembo ya ETH ikiwa na ishara za mabadiliko ya paka",
"page-eth-collectible-tokens": "Ishara zinazokusanyika",
"page-eth-collectible-tokens-desc": "Ishara zinazowakilisha mchezo unaokusanyika, kipande na sanaa, au mali nyingine ya kipekee. Kwa kawaida hujulikana kama ishara zisizo-kuvu ama kwa kifupisho cha lugha ya kiingereza (NFTs).",
"page-eth-cryptography": "Inalindwa na kriptografia",
"page-eth-cryptography-desc": "Hela ya mtandao ni mpya katika jamii ila iko salama na inalindwa na kriptographia iliohakikishwa. Hii inalinda pochi yako, ETH yako, na miamala yako. ",
"page-eth-currency-for-apps": "Ni sarafu ya programu za Ethereum.",
"page-eth-currency-for-future": "Sarafu kwa ajili ya ulimwengu wa dijitali wa kesho",
"page-eth-description": "ETH ni sarafu ya kripto. Ni hela adimu ya kidijitali ambayo unaweza kuitumia mtandaoni -- sawa sawa na Bitcoin. Kama wewe ni mpya kwenye kripto, maelezo haya yatakuonyesha tofauti kati ya ETH na sarfu zetu za jadi au tulizozoea kuongozwa na serikali.",
Expand All @@ -15,7 +15,7 @@
"page-eth-fuels": "ETH ni mafuta na inalinda Ethereum",
"page-eth-fuels-desc": "ETH ni damu ya Ethereum. Unapotuma ETH ama kutumia programu za Ethereum, utalipa tozo katika ETH ili utumie mtandao wa Ethereum. Hizi tozo ni motisha kwa mzalishaji wa vitalu kufanya mchakato na kuthibitisha unachojaribu kufanya.",
"page-eth-fuels-desc-2": "Wathibitishaji ni kama watunza rekodi wa Ethereum-wanakagua na kuhakikisha kwamba hakuna anayedanganya. Wanachaguliwa kwa nasibu kuchagua kundi la miamala. Wathibitishaji wanaofanya kazi hii wanazawadiwa kiwango kidogo cha ETH mpya.",
"page-eth-fuels-desc-3": "Kazi ambayo wathibitishaji wanafanya, na fedha wanazoweka kama hisa, huomgeza usalama na kufanya Ethereum kua huru na kuepuka mashirika ya kati.",
"page-eth-fuels-staking": "Unaposimamisha hisa zako za ETH, unasaidia kulinda Ethereum na unapata riba. Kwenye mfumo huu, utete wa kupoteza ETH hufukuza wavamizi.",
"page-eth-fuels-more-staking": "Zaidi juu ya kusimamisha hisa",
"page-eth-get-eth-btn": "Pata ETH",
Expand All @@ -27,9 +27,7 @@
"page-eth-has-value-desc-3": "Wengine wanaiona kama ghala la kidijatili kwasababu ya uundaji wa ETH mpya unashuka chini taratibu mda unavyokwenda.",
"page-eth-has-value-desc-4": "Hivi karibuni, ETH imekua na thamani kwa watumiaji wa programu za kifedha kwenye Ethereum. Hii ni kwasababu unaweza kutumia ETH kama dhamana kwa ajili ya mikopo ya kripto, au kama mfumo wa ulipaji.",
"page-eth-has-value-desc-5": "Bila shaka wengi wanaiona kama sehemu ya uwekezaji, sawa na Bitcoin au sarafu nyingine za kripto.",
"page-eth-how-to-buy": "Jinsi ya kununua Eth",
"page-eth-how-to-buy-caption": "Inasasishwa mara kwa mara",
"page-eth-is-money": "ETH ni ya kidijitali, na hela ya ulimwengu.",
"page-eth-is-money": "Sarafu ya Ether (ETH) ni ya kidijitali, fedha ya kimataifa.",
"page-eth-last-updated": "Januari 2019",
"page-eth-monetary-policy": "Sera za fedha za Ethereum",
"page-eth-more-on-ethereum-link": "Zaidi juu ya Ethereum",
Expand All @@ -55,8 +53,9 @@
"page-eth-tokens-link": "Ishara za Ethereum",
"page-eth-trade-link-2": "Badilisha ishara",
"page-eth-underpins": "ETH inaimarisha mifumo ya fedha ya Ethereum",
"page-eth-underpins-desc": "Haujridhika na malipo, Jamii ya wana-Etehreum inajenga mfumo mzima wa fedha wa rika-kwa-rika na utakaopatikana kwa kila mtu.",
"page-eth-underpins-desc-2": "Unaweza kutumia ETH kama dhamana kuzalisha ishara za kripto tofauti kabisa juu ya Ethereum. Pamoja na kwamba unaweza kuazima, kukopesha na kupata riba juu ya ETH na ishara zinazobebwa na ETH.",
"page-eth-uses": "Matumizi ya ETH yanakua kila siku",
"page-eth-uses-desc": "Kwasababu Ethereum inaweza kusanidiwa, wasanisi programu wanaweza kuiunda ETH katika njia zisizohesabika.",
"page-eth-uses-desc-2": "Ukirudi mwaka 2015, ulichokua unaweza kufanya ni kutuma ETH kutoka akaunti moja kwenda nyingine. Hivi hapa ni baadhi ya vitu unavyoweza kufanya leo hii.",
Expand All @@ -77,7 +76,7 @@
"page-eth-where-to-buy": "Mahali pa kupata ETH",
"page-eth-where-to-buy-desc": "Unaweza kupata ETH kwenye masoko ya mabadilishano au pochi lakini lakini kila nchi ina sera tofauti. Angalia huduma amabazo zitakuruhusu kununua ETH.",
"page-eth-yours": "Ni ya kwako kweli",
"page-eth-yours-desc": "ETH inafanya unakua benki yako wewe mwenyewe. Unaweza kudhibiti fedha zako na pochi yako kama kithibitisho cha umiliki -hamna hitaji la mpatanishi wa kati.",
"page-eth-yours-desc": "ETH inafanya unakua benki yako wewe mwenyewe. Unaweza kudhibiti fedha zako na pochi yako kama kithibitisho cha umiliki hamna hitaji la mpatanishi wa kati.",
"page-eth-more-on-tokens": "Zaidi juu ya ishara na kazi zake",
"page-eth-button-buy-eth": "Pata ETH",
"page-eth-tokens-stablecoins": "Sarafu-imara",
Expand Down
64 changes: 64 additions & 0 deletions src/intl/sw/page-gas.json
Original file line number Diff line number Diff line change
@@ -0,0 +1,64 @@
"page-gas-meta-title": "Ada ya gesi kwenye Ethereum: inafanya kazi aje?",
"page-gas-meta-description": "Jifunze kuhusu gesi kwenye Ethereum: jinsi inavyofanya kazi na jinsi ya kulipa kidogo zaidi katika ada za gesi",
"page-gas-hero-title": "Ada ya gesi",
"page-gas-hero-header": "Ada za mtandao",
"page-gas-hero-button-1-content": "Gesi ni nini?",
"page-gas-hero-subtitle-1": "Ada ya mtandao kwenye Ethereum inaitwa gesi.",
"page-gas-hero-subtitle-2": "Gesi ni mbinu ambayo huipa nguvu Ethereum.",
"page-gas-summary-title": "Muhtasari",
"page-gas-summary-item-1": "Kila muamala kwenye Ethereum unahitaji njia ndogo ya malipo ili kuchakatwa",
"page-gas-summary-item-2": "Ada hizi zinajulikana kama ada ya 'gesi'",
"page-gas-summary-item-3": "Ada ya gesi azitengenezwi, zinabadilika kutokana na matumizi ya mtandao",
"page-gas-what-are-gas-fees-header": "Nini ni ada ya gesi?",
"page-gas-what-are-gas-fees-text-1": "Fikiria Ethereum kama mtandao mkubwa wa kompyuta ambapo watu wanaweza kufanya kazi kama kutuma ujumbe au kuendesha programu. Kama kwenye ulimwengu wa kawaida, kazi hizi zinahitaji nishati kuweza kufanyika.",
"page-gas-how-do-i-pay-less-gas-header": "Nawezaje kulipa gesi kidogo?",
"page-gas-how-do-i-pay-less-gas-text": "Wakati ada kubwa kwenye Ethereum saa nyingine ni jambo aliepukiki, kuna mikakati unaweza kutumia kupunguza gharama:",
"page-gas-how-do-i-pay-less-gas-card-1-title": "Angalia muda wa kufanya muamala wako",
"page-gas-how-do-i-pay-less-gas-card-1-description": "Kama kusafiri, nje ya barabara kunakuwa na watu wachache na nafuu, Ethereum kwa ujumla ni rahisi kutumia wakati Marekani ya Kasakazini wakiwa wamelala.",
"page-gas-how-do-i-pay-less-gas-card-2-title": "Subiri gesi ishuke chini",
"page-gas-how-do-i-pay-less-gas-card-2-description": "Bei ya gesi inaenda juu na chini kila sekunde kumi na mbili, sekunde hizo zinahusisha ni namna gani kuna msongamano kwenye Ethereum. Pale ambapo bei ya gesi ipo juu, subiri dakika chache kabla ya kufanya muamala unaweza ona punguzo kwenye utakacho lipa.",
"page-gas-how-do-i-pay-less-gas-card-3-title": "Tumia safu ya 2",
"page-gas-how-do-i-pay-less-gas-card-3-description": "Safu ya pili imejengwa juu ya Ethereum, ikitoa ada ndogo na kuthibiti muamala. Ni chaguo zuri la kuweza kuokoa ada kwenye muamala ambayo haihitajiki kutokea kwenye mtandao mkuu wa Ethereum.",
"page-gas-try-layer-2": "Tumia safu ya 2",
"page-gas-what-causes-high-gas-fees-header": "Nini kinachosababisha ada kubwa ya gesi?",
"page-gas-what-causes-high-gas-fees-text-1": "Kila ambapo kiasi cha ada ya kufanya hesabu za kompyuta kwenye Ethereum kinakua kimezidi kiasi fulani, ada ya gas inaanza kukua. Jinsi ada ya gesi inavyozidi kiwango, ni rahisi ada ya gesi kuongezeka.",
"page-gas-what-causes-high-gas-fees-text-3": "Waundaji kwenye Ethereum wanatakiwa kuwa waangalifu kwenye kuboresha mikataba erevu matumizi yake kabla ya kuifanya itumike. Kama watu wengi wanatumia mikataba erevu iliyoandikwa vibaya, itatumia gas nyingi na inaweza sababisha msongomano kwenye mtandao.",
"page-gas-want-to-dive-deeper": "Unataka kuingia ndani zaidi?",
"page-gas-check-out-the-developer-docs": "Angalio chapisho kwa ajili ya waundaji.",
"page-gas-attack-of-the-cryptokitties-header": "Shambulizi la Cryptokitties",
"page-gas-attack-of-the-cryptokitties-text": "Mnamo Novemba 2017, mradi maarufu wa Crptokitties ulizalishwa. Mafanikio yake kwenye umaarufu ukaifanya kuwa na msongamano mkubwa kwenye mtandao na ada kubwa ya gesi. Changamoto iliyosababishwa na Cryptokitties ikapelekea uharaka wa kutafuta suluhisho la kupanua Ethereum.",
"page-gas-why-do-we-need-gas-header": "Kwa nini tunahitaji gesi?",
"page-gas-why-do-we-need-gas-text": "Gesi ni kipengele muhimu kuifanya Ethereum salama na kuchakata muamala. Gesi inasaidia kwa njia nyingi:",
"page-gas-benefits-2-description": "Kwa sababu mahesabu ya kompyuta yanagharimu gesi, kutuma kwa kujirudia na miamala ghali, ikiwa bahati mbaya au kwa nia mbaya, ni vikwazo vya kifedha.",
"page-gas-benefits-3-description": "Kikwazo kigumu cha kiwango cha mahesabu ya kompyuta inaweza kufanyika maramoja kuzuia Ethereum kutoka kuelemewa, inasadia kuhakikisha mtandao kila wakati unapatikana.",
"page-gas-how-is-gas-calculated-header": "Ni jinsi gani gesi inapigiwa mahesabu?",
"page-gas-advanced": "Ya hali ya juu",
"page-gas-how-is-gas-calculated-text-1": "Jumla ya gas unayolipa inatengenezwa na bahazi ya sehemu:",
"page-gas-how-is-gas-calculated-item-1": "Ada ya msingi: ada inayoekwa na mtandao ambao inahitajika kulipwa a muamala",
"page-gas-how-is-gas-calculated-item-2": "Ada ya kipaumbele: malipo ya ziada kulipa mwendesha nodi kuweka muamala wako",
"page-gas-how-is-gas-calculated-item-3": "Vitengo vya gesi iliyotumika kumbuka tumesema gesi inawakilisha mahesabu ya kompyuta? Vitendo vigumu zaidi kama kushughulika na mikataba erevu, inatumia gesi nyingi zaidi ya yenye vitendo virahisi, kama kutuma muamala.",
"page-gas-how-is-gas-calculated-list-item-1": "Tazama mchoro 1 kuona kiwango cha gesi mbali mbali na aina ya muamala unaotumika",
"page-gas-how-is-gas-calculated-text-2": "Fomula ya kuhesabu kitengo cha ada ya gesi iliyotumika *(ada ya msingi + ada ya kipaumbele). Mikoba migi itahesabu matumizi ya gesi na kuonyesha kwenye njia iliyonyooka.",
"page-gas-table-figure": "Mchoro 1: gesi iliyotumika na aina ya muamala",
"page-gas-table-header-1": "Aina ya muamala",
"page-gas-table-header-2": "Vitengo vya gesi iliyotumika",
"page-gas-table-item-1-transaction-type": "Tuma ETH",
"page-gas-table-item-2-transaction-type": "Tuma tokeni za ERC-20",
"page-gas-table-item-3-transaction-type": "Kuhamisha NFT",
"page-gas-table-item-4-transaction-type": "Badilisha kwenye Uniswap",
"page-gas-faq-header": "Maswali yanayoulizwa mara kwa mara",
"page-gas-faq-question-1-q": "Nani analipwa ada ya gesi kwenye muamala wangu?",
"page-gas-faq-question-1-a-1": "Kiwango kikubwa cha ada ya gesi ada ya msingi inaharibiwa na itifaki(kuchomwa). Ada ya kipaumbele, kama kimewekwa kwenye muamala wako, atapewa mthibitishaji aliyependekeza muamala wako.",
"page-gas-faq-question-2-q": "Ninahitajika kulipa gesi kwenye ETH?",
"page-gas-faq-question-2-a-1": "Ndio. ada yote ya gesi ya Ethereum lazima ilipwe kwenye fedha asili ya ETH.",
"page-gas-faq-question-2-a-2": "Zaidi juu ya ETH",
"page-gas-faq-question-3-q": "Nini ni gwei?",
"page-gas-faq-question-3-a-1": "Kwenye mikoba mingi au vifuatilia gesi, utaona bei ya dei imeandikwa kama 'gwei'.",
"page-gas-faq-question-3-a-2": "Gwei ni kitengo kidogo cha ETH, kama senti ilivyo kwa dola, ikiwa na tofauti kuwa ETH 1 iko sawa na gwei bilioni 1. Gwei ni muhimu pale unapoongea kuhusu kiwango kidogo cha ETH.",
"page-gas-use-layer-2": "Tumia safu ya 2"
Loading
0 comments on commit bc52311
Please sign in to comment.